Clerks and staff of Parliament
English
(1)There shall be a Clerk for each House of Parliament, appointed by the Parliamentary Service Commission with the approval of the relevant House.
(2)The offices of the Clerks and offices of members of the staff of the Clerks shall be offices in the Parliamentary Service.
Kiswahili
Makarani na wafanyakazi wa Bunge
(1)Kutakuwa na Karani katika kila Kitengo cha Bunge, atakayeteuliwa na Tume ya Huduma za Bunge kupitia kwa idhini ya Kitengo cha Bunge kinachohusika.
(2)Ofisi za Makarani na ofisi za wafanyakazi wa Makarani zitakuwa ofisi katika Huduma ya Bunge. Sehemu 1—Kanuni na Muundo wa Kitengo cha Utendaji cha Serikali ya Kitaifa.