Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Tisa · Kitengo cha Serikali cha Utendaji

Kifungu cha 129

Kif.129

Kanuni za mamlaka kuu ya utendaji

Kiswahili

(1)Mamlaka ya utendaji yametolewa na Wakenya na yatatekelezwa kulingana na Katiba hii.

(2)Mamlaka ya utendaji yatatekelezwa kwa namna ambayo inaambatana na kanuni ya huduma kwa Wakenya, na kwa ustawi na manufaa yao.

English

Principles of executive authority

(1)Executive authority derives from the people of Kenya and shall be exercised in accordance with this Constitution.

(2)Executive authority shall be exercised in a manner compatible with the principle of service to the people of Kenya, and for their well-being and benefit.

Isome ndani ya Sura ya Tisa →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho