Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Kumi na Nne · Usalama wa Kitaifa

Kifungu cha 247

Kif.247

Huduma zingine za polisi

Kiswahili

Bunge linaweza kutunga sheria zitakazobuni huduma zingine za polisi chini ya usimamizi wa Huduma za Polisi za Kitaifa na uongozi wa Inspekta-Jenerali wa Huduma hizi.

English

Other police services

Parliament may enact legislation establishing other police services under the supervision of the National Police Service and the command of the Inspector-General of the Service.

Isome ndani ya Sura ya Kumi na Nne →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho