Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Kumi na Tano · Tume na Ofisi Huru

Kifungu cha 253

Kif.253

Tume na ofisi huru kuwa kama kampuni au shirika

Kiswahili

Kila tume na ofisi huru—

(a)ni shirika lililosajiliwa, lenye urithi unaoendelea na lina muhuri wake; na

(b)ina uwezo wa kushtaki na kushtakiwa kwa jina lake la shirika.

English

Incorporation of commissions and independent offices

Each commission and each independent office—

(a)is a body corporate with perpetual succession and a seal; and

(b)is capable of suing and being sued in its corporate name.

Isome ndani ya Sura ya Kumi na Tano →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho