Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nne · Sheria za Haki

Kifungu cha 28

Kif.28

Heshima kwa binadamu

Kiswahili

Kila mtu ana hadhi yake ya kiasili na haki ya hadhi hiyo kuheshimiwa na kulindwa.

English

Human dignity

Every person has inherent dignity and the right to have that dignity respected and protected.

Isome ndani ya Sura ya Nne →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho