Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nne · Sheria za Haki

Kifungu cha 30

Kif.30

Uhuru kutokana na utumwa, kukandamizwa, na kazi za lazima

Kiswahili

(1)Hakuna mtu atakayezuiliwa katika utumwa au ukandamizaji.

(2)Hakuna mtu atakayehitajiwa kufanya kazi ya kulazimishwa.

English

Slavery, servitude and forced labour

(1)A person shall not be held in slavery or servitude.

(2)A person shall not be required to perform forced labour.

Isome ndani ya Sura ya Nne →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho