Uhuru wa kukutana, kuandamana, kugoma na kulalamika
Kiswahili
Kila mtu ana haki ya kukutana, kuandamana na kuwasilisha maombi au malalamishi yake kwa mamlaka ya umma iwapo tu atafanya hivyo kwa amani na bila kuwa na silaha.
English
Assembly, demonstration, picketing and petition
Every person has the right, peaceably and unarmed, to assemble, to demonstrate, to picket, and to present petitions to public authorities.