Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Saba · Uwakilishaji wa Watu

Kifungu cha 84

Kif.84

Wagombea viti katika uchaguzi na vyama vya kisiasa kuzingatia kanuni za maadili

Kiswahili

katika kila uchaguzi, wagombea wote na vyama vyote vya kisiasa vitazingatia kanuni za upigaji kura zilizowekwa na Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka.

English

Candidates for election and political parties to comply with code of conduct

In every election, all candidates and all political parties shall comply with the code of conduct prescribed by the Independent Electoral and Boundaries Commission.

Isome ndani ya Sura ya Saba →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho