Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nane · Mabunge

Kifungu cha 93

Kif.93

Muhula wa Mabunge

Kiswahili

(1)Mabunge ya Kenya yameundwa, na yatajumuisha Bunge la Kitaifa na Seneti.

(2)Bunge la Kitaifa na Seneti yatatekeleza majukumu yao kulingana na Katiba hii.

English

Establishment of Parliament

(1)There is established a Parliament of Kenya, which shall consist of the National Assembly and the Senate.

(2)The National Assembly and the Senate shall perform their respective functions in accordance with this Constitution.

Isome ndani ya Sura ya Nane →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho