Image: Taifa LeoMudavadi apanga kumfunika Sifuna ili kujihifadhia nafasi ya kumrithi Ruto 2032
Published on November 9, 2026
UMAARUFU wa Kiongozi wa Linda Mwananchi, Edwin Sifuna, umemtikisa Kinara wa Mawaziri Musalia Mudavadi, ambaye kwa muda mrefu amekuwa kigogo wa siasa za eneo la Magharibi huku siasa za 2027 zikiendelea kuchacha. Bw Mudavadi ambaye amedumu katika siasa za Magharibi kwa kipindi kirefu, anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa wanasiasa chipukizi, akiwemo Bw Sifuna na Gavana wa Trans Nzoia, Georgeโฆ





