Image: Taifa LeoUhuru ashauri vigogo kuweka tamaa kando na kusimamisha mwaniaji mmoja
Published on November 12, 2026
RAIS Mstaafu Uhuru Kenyatta amewataka viongozi wa upinzani kuweka kando tamaa zao za kibinafsi za kuwania urais na kuungana nyuma ya mgombea mmoja, akisema Wakenya tayari wameamua kumwondoa Rais William Ruto mamlakani katika uchaguzi mkuu wa Agosti 2027. Bw Uhuru alisema changamoto kubwa inayokabili upinzani si ukosefu wa wananchi wanaotaka mabadiliko, bali viongozi wake kukosa kukubaliana kuhusu mwelekeo mmoja waโฆ



