Image: Taifa LeoRais Ruto kwenye mizani akihutubia Bunge kuhusu hali ya taifa Alhamisi
Published on November 18, 2026
RAIS William Ruto anatarajiwa kutoa hotuba yake ya nne kuhusu hali ya taifa kesho mbele ya kikao cha pamoja cha Bunge la Kitaifa na Seneti, huku serikali yake ikikabiliwa na changamoto za deni la taifa, gharama ya maisha na ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana. Hotuba hiyo inajiri siku chache baada ya Ofisi ya Bajeti ya Bunge (PBO) kuonya kuwaโฆ

