Image: Taifa LeoMajonzi mtaa ukifiwa na mapasta watatu kupitia ajali Mtito Andei
Published on October 27, 2026
WAKAZI wa mtaa wa Bangladesh, eneo la Mikindani, Mombasa, wamezama katika majonzi kutokana na vifo vya wachungaji watatu na waumini wengine katika ajali iliyoangamiza watu 24 katika eneo la Kanga, barabara ya Mombasa-Nairobi, Kaunti ya Makueni, Jumapili asubuhi. Wachungaji Joseph Vura wa Campaign for Salvation and Healing Ministry (CASHEM), Fonex Paul wa River of Life na Isaac Juma wa Graceโฆ


