Image: Taifa LeoMisimamo mikali ya wandani wa Sifuna na Kalonzo yatishia kuvuruga upinzani
Published on November 19, 2026
MISIMAMO mikali miongoni mwa wandani wa Kiongozi wa Wiper, Kalonzo Musyoka na Edwin Sifuna wa Linda Mwananchi inatishia kutatiza juhudi za upinzani kuwa na mwaniaji mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu ujao. Licha ya viongozi hao wawili kuahidi kuunga mkono juhudi za ushirikiano kumkabili Rais William Ruto, wandani wao wanazidi kusukuma mbele azma zao za urais, kila upande ukisisitiza kuwaโฆ
