KINAYA: Mwanasiasa anayekuahidi utajiri ni tapeli!

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 4 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

NITAKUTAJIRISHA’ au ‘nitatia pesa mfukoni mwako’ ni lugha ya waganga na matapeli!

Naam, ukiyasikia maneno hayo tu gusa mfuko wako ili uhakikishe uko salama, lau sivyo uishie ‘ningalijua’.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo