Sifuna avamia umaarufu wa Gachagua

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 11 views

Rigathi GachaguaEdwin SifunaDCP

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Party activity

Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna anaonekana kuvuka mipaka ya kisiasa ya chama chake cha Linda Mwananchi Movement na kupata nafasi miongoni mwa wafuasi wa chama cha Democracy for the Citizens Party (DCP), kinachoongozwa na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua.

Utafiti mpya wa TIFA Research unaonyesha kuwa asilimia 34 ya wafuasi wa DCP wanamtaka Sifuna awe rais wa tano wa Kenya baada ya Uchaguzi Mkuu wa 2027. Gachagua, ambaye ndiye kiongozi wa chama hicho, anapata asilimia 25 katika kundi hilo.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo