Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nane · Mabunge

Kifungu cha 121

Kif.121

Idadi ya wabunge inayohitajika katika kila kikao

Kiswahili

(1)Idadi inayohitajika ili Bunge lifanye kikao itakuwa––

(a)wabunge hamsini katika Bunge la Kitaifa; au

(b)wanachama kumi na watano katika Seneti.

English

Quorum

The quorum of Parliament shall be––

(a)fifty members, in the case of the National Assembly; or

(b)fifteen members, in the case of the Senate.

Isome ndani ya Sura ya Nane →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho