Kif.121Idadi ya wabunge inayohitajika katika kila kikao ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Idadi inayohitajika ili Bunge lifanye kikao itakuwa––(a)wabunge hamsini katika Bunge la Kitaifa; au(b)wanachama kumi na watano katika Seneti.