Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Tisa · Kitengo cha Serikali cha Utendaji

Kifungu cha 130

Kif.130

Mamlaka Kuu ya Kitaifa Inayosimamia Utendaji

Kiswahili

(1)Kitengo cha Utendaji cha Serikali ya Kitaifa kinajumuisha Rais, Naibu wa Rais na Baraza lote la Mawaziri.

(2)Muundo wa Kitengo cha Utendaji cha Serikali ya Kitaifa utaonyesha utofauti wa kieneo na kikabila wa Wakenya.

English

The National Executive

(1)The national executive of the Republic comprises the President, the Deputy President and the rest of the Cabinet.

(2)The composition of the national executive shall reflect the regional and ethnic diversity of the people of Kenya.

Isome ndani ya Sura ya Tisa →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho