Kif.130Mamlaka Kuu ya Kitaifa Inayosimamia Utendaji ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Kitengo cha Utendaji cha Serikali ya Kitaifa kinajumuisha Rais, Naibu wa Rais na Baraza lote la Mawaziri.(2)Muundo wa Kitengo cha Utendaji cha Serikali ya Kitaifa utaonyesha utofauti wa kieneo na kikabila wa Wakenya.