Kutangazwa kwa Jamhuri
Kiswahili
(1)Kenya ni Jamhuri inayojitawala.
(2)Jamhuri ya Kenya itakuwa Taifa la kidemokrasia na lenye vyama vingi likiwa kwenye misingi ya maadili ya kitaifa na kanuni za utawala kama ilivyotajwa katika Kifungu cha 10.
English
Declaration of the Republic
(1)Kenya is a sovereign Republic.
(2)The Republic of Kenya shall be a multi-party democratic State founded on the national values and principles of governance referred to in Article 10.