Kif.4Kutangazwa kwa Jamhuri ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Kenya ni Jamhuri inayojitawala.(2)Jamhuri ya Kenya itakuwa Taifa la kidemokrasia na lenye vyama vingi likiwa kwenye misingi ya maadili ya kitaifa na kanuni za utawala kama ilivyotajwa katika Kifungu cha 10.