Katiba ya Kenya, 2010
Ambatisho la Pili · Kifungu cha 9 (2)
Nembo za kitaifa
(a) Bendera ya Kitaifa
Kumbuka–– Vipimo vyote vilivyotolewa haviwakilishi urefu au upana wowote na ni linganifu tu. Maelezo––
Mistari mitatu mikubwa yenye upana sawa na yenye rangi nyeusi, nyekundu, na kijani kutoka juu hadi chini na ambayo imetenganishwa na mistari nyembamba ambayo ni nyeupe, na ngao linganifu na mishale nyeupe iliyowekwa katikati ya bendera.

(b) Wimbo wa Taifa
Ee Mungu nguvu yetu
Ilete baraka kwetu
Haki iwe ngaon a mlinzi
Natukae na undugu
Amani na uhuru
Raha tupate na ustawi
O God of all creation
Bless this our land and nation.
Justice be our shield and defender
May we dwell in unity
Peace and liberty
Plenty be found within our borders.
Amkeni ndugu zetu
Tufanye sote bidii
Nasi tujitoe kwa nguvu
Nchi yetu ya Kenya
Tunayoipenda
Tuwe tayari kuilinda.
Let one and all arise
With hearts both strong and true.
Service be our earnest endeavour,
And our Homeland of Kenya
Heritage of splendour,
Firm may we stand to defend.
Natujenge taifa letu
Ee, ndio wajibu wetu,
Kenya istahili heshima
Tuungane mikono
Pamoja kazini
Kila siku tuwe na shukrani.
Let all with one accord
In common bond united,
Build this our nation together
And the glory of Kenya
The fruit of our labour
Fill every heart with thanksgiving
(c) Nembo ya Kitaifa Inayoashiria Mamlaka ya Kujitawala

(d) Muhuri wa Serikali
