Image: Taifa LeoRuto na Sifuna watoshana nguvu kwa umaarufu, utafiti waonyesha
Published on November 13, 2026
RAIS William Ruto na kiongozi wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna sasa wanatoshana kwa umaarufu katika kinyang'anyiro cha urais, hali inayoashiria ushindani mkali katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, kwa mujibu wa utafiti mpya. Utafiti uliofanywa na kampuni ya TIFA ambao ulitolewa jana, ulionyesha kuwa viongozi hao wawili wanaungwa mkono na asilimia 31 kila mmoja, na kwa sasa hakuna mshindi anayeweza kufikishaโฆ





