Ruto na Sifuna watoshana nguvu kwa umaarufu, utafiti waonyesha

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 1 views

William RutoEdwin Sifuna

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Candidate announcement

RAIS William Ruto na kiongozi wa Linda Mwananchi Edwin Sifuna sasa wanatoshana kwa umaarufu katika kinyang’anyiro cha urais, hali inayoashiria ushindani mkali katika Uchaguzi Mkuu wa 2027, kwa mujibu wa utafiti mpya.

Utafiti uliofanywa na kampuni ya TIFA ambao ulitolewa jana, ulionyesha kuwa viongozi hao wawili wanaungwa mkono na asilimia 31 kila mmoja, na kwa sasa hakuna mshindi anayeweza kufikisha asilimia 50.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo