Mamlaka, haki maalum na kinga dhidi ya mashtaka
(1)Kutakuwa na uhuru wa kujieleza na majadiliano katika Bunge.
(2)(2) Bunge linaweza, kwa madhumuni ya uendeshaji bora wa shughuli za bunge, kutoa mamlaka, haki maalum na kinga dhidi ya mashtaka kwa Bunge, kamati zake, kiongozi wa chama cha walio wengi, kiongozi wa chama cha walio wachache, wenyeviti wa kamati na wanachama.