Kif.119Haki ya kuwasilisha ombi kwa Bunge ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Kila mtu ana haki ya kuwasilisha ombi au malalamishi kwa Bunge ili lishughulikie suala lolote lililo katika mamlaka yake ikijumuisha kurekebisha au kutupilia mbali sheria yoyote.(2)Bunge litatoa mwongozo kuhusu taratibu za kutekeleza haki hii.