Kif.142Muda wa kuhudumu katika ofisi ya Rais ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Rais atahudumu kwa muhula utakaoanzia tarehe aliyoapishwa, na kukamilika wakati ambapo mtu atakayechaguliwa kuwa Rais mpya ataapishwa kwa mujibu wa Kifungu cha (136) (2) (a).(2)Hakuna mtu atakayehudumu kama Rais kwa zaidi ya mihula miwili.