Kif.199Kuchapishwa kwa sheria za kaunti ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Sheria ya kaunti haianzi kutumika isipokuwa ichapishwe katika Gazeti Rasmi la Serikali.(2)Sheria ya kitaifa na sheria za kaunti zinaweza kutoa masharti ya ziada kuhusu uchapishaji wa sheria za serikali ya kaunti.