Kufutiliwa mbali kwa katiba ya hapo awali
Katiba iliyokuwa ikitumika kabla ya tarehe ya kuanza kutumika kwa Katiba hii itafutuliwa mbali mnamo tarehe ya kuanza kutumika kwa Katiba hii, lakini kwa kuzingatia Ambatisho la Sita.
Katiba ya Kenya, 2010
Sura ya Kumi na Nane · Vifungu vya Mpito na Vitakavyotumiwa Katiba Hii Inapoanza Kutekelezwa
Kifungu cha 264