Kif.3Kutetea Katiba Hii ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Kila mtu ana jukumu la kuiheshimu, kuitetea na kuilinda Katiba hii.(2)Jaribio lolote la kubuni Serikali bila kufuata Katiba hii ni kinyume cha sheria.