Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nne · Sheria za Haki

Kifungu cha 39

Kif.39

Uhuru wa kwenda popote na kuishi popote

(1)Kila mtu ana haki ya uhuru wa kutembea.

(2)Kila mtu ana haki ya kuondoka nchini Kenya.

(3)Kila raia ana haki ya kuingia, kubaki na kuishi kokote nchini Kenya.

Isome ndani ya Sura ya Nne →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho