Katiba ya Kenya, 2010

Sura ya Nne · Sheria za Haki

Kifungu cha 48

Kif.48

Upataji haki

Serikali itahakikisha upataji haki kwa watu wote na ikiwa ada yoyote itahitajika, itakuwa ada inayofaa na haitazuia upataji wa haki.

Isome ndani ya Sura ya Nne →

Maandishi: Tafsiri ya Kiswahili ya Katiba ya Kenya, 2010, iliyochapishwa na Uraia kwa kutumia chapisho la Halmashauri ya Kitaifa ya Kuripoti Maswala ya Sheria (27 Agosti 2010). Ikiwa kuna utata wowote kuhusu tafsiri, nakala ya Kiingereza ndiyo rasmi.

Huu ni msaada wa kusoma, si ushauri wa kisheria. Kwa swali la kisheria, ongea na wakili. Umeona kosa? Ripoti marekebisho