Kif.61Mangilio wa ardhi ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Ardhi yote nchini Kenya inamilikiwa na wakenya wote kijumla kama taifa, kama jamii na kama watu binafsi.(2)Ardhi yote nchini Kenya imeainishwa kama ardhi ya umma, ya jamii au ya mtu binafsi.