Katiba ya Kenya, 2010
Ambatisho la Tano · Kifungu cha 261 (1)
Sheria Zitakazotungwa na Bunge
Sura ya Pili—Jamhuri
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Sheria kuhusu utamaduni (Kifungu cha 11 (3)) | Miaka mitano |
Sura ya Tatu–– Uraia
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Sheria kuhusu uraia (Kifungu cha 18) | Mwaka mmoja |
Sura ya Nne—Sheria za Haki
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Uhuru wa vyombo vya habari (Kifungu cha 34) | Miaka mitatu |
| Familia (Kifungu cha 45) | Miaka mitano |
| Ulinzi kwa watumiaji wa bidhaa na huduma (Kifungu cha 46) | Miaka minne |
| Haki katika hatua za kiutawala (Kifungu cha 47) | Miaka minne |
| Usikilizaji kesi kwa haki (Kifungu cha 50) | Miaka minne |
| Haki za walio kizuizini, waliokamatwa au waliofungwa gerezani (Kifungu cha 51) | Miaka minne |
| Tume ya Kitaifa Kuhusu Haki za Binadamu na Usawa ya Kenya (Kifungu cha 59) | Mwaka mmoja |
Sura ya Tano—Ardhi na Mazingira
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Ardhi ya jamii (Kifungu cha 63) | Miaka mitano |
| Udhibiti wa matumizi ya ardhi na mali (Kifungu cha 66) | Miaka mitano |
| Sheria kuhusu ardhi (Kifungu cha 68) | Miezi 18 |
| Makubaliano yanayohusiana na mali-asili. (Kifungu cha 71) | Miaka mitano |
| Sheria kuhusu mazingira (Kifungu cha 72) | Miaka minne |
Sura ya Sita—Uongozi na Uadilifu
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Tume ya maadili na kupambana na ufisadi (Kifungu cha 79) | Mwaka mmoja |
| Sheria kuhusu uongozi (Kifungu cha 80) | Miaka miwili |
Sura ya Saba—Uwakilishaji wa Watu
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Sheria kuhusu uchaguzi (Kifungu cha 82) | Mwaka mmoja |
| Mizozo kuhusu uchaguzi (Kifungu cha 87) | Mwaka mmoja |
| Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (Kifungu cha 88) | Mwaka mmoja |
| Sheria kuhusu vyama vya kisiasa (Kifungu cha 92) | Mwaka mmoja |
Sura ya Nane—Bunge
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Kukuza uwakilishi wa makundi yaliyotengwa. vikundi (Kifungu cha 100) | Miaka mitano |
| Mbunge kuondoka ofisini. (Kifungu cha 103) | Mwaka mmoja |
| Haki ya kumwondoa mbunge mamlakani (Kifungu cha 104) | Miaka miwili |
| Uamuzi katika maswali yanayohusiana na uanachama wa Bunge (Kifungu cha 105) | Miaka miwili |
| Haki ya kuwasilisha ombi Bungeni (Kifungu cha 119) | Miaka miwili |
Sura ya Tisa—Mamlaka Kuu ya Serikali Inayosimamia Utendaji
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Mamlaka ya Msamaha wa Rais (Kifungu cha 133) | Mwaka mmoja |
| Kuchukua hatamu za uongozi katika ofisi ya rais (Kifungu cha 141) | Miaka miwili |
Sura ya Kumi—Kitengo cha Serikali Kinachosimamia Mahakama
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Mfumo wa mahakama (Kifungu cha 162) | Mwaka mmoja |
| Kuondolewa ofisini (Kifungu cha 168) | Mwaka mmoja |
| Hazina ya Mahakama (Kifungu cha 173) | Miaka miwili |
| Ukaguzi wa majaji na mahakimu (Ambatisho la Sita, Sehemu ya 23) Sura ya Kumi na Moja—Serikali ya Ugatuzi Spika wa bunge la kaunti (Kifungu cha 178) Mwaka mmoja | Mwaka mmoja |
| Sehemu za miji na majiji (Kifungu cha 183) | Mwaka mmoja |
| Usaidizi kwa serikali za kaunti (Kifungu cha 190) | Miaka mitatu |
| Kuondolewa kwa gavana wa kaunti (Kifungu cha 181) | Miezi 18 |
| Kuondolewa ofisini kwa mwakilishi wadi katika bunge la kaunti (Kifungu cha 194) | Miezi 18 |
| Kushiriki kwa umma na mamlaka ya bunge la kaunti, haki maalum na kinga dhidi ya mashtaka (Kifungu cha 196) | Miaka mitatu |
| Usawa wa kijinsia na utofauti katika bunge la kaunti (Kifungu cha 197) | Miaka mitatu |
| Sheria kuhusu utekelezaji wa Sura ya kumi na moja (Kifungu cha | Miezi 18 |
| 200 na Ambatisho la sita, Sehemu ya 15) na Sura ya Kumi na Mbili—Fedha za Umma Hazina za Mapato za serikali za kaunti (Kifungu cha 207) | Miezi 18 |
| Hazina ya Dharura (Kifungu cha 208) | Mwaka mmoja |
| Udhamini wa mikopo ya serikali ya kitaifa. (Kifungu cha 213) | Mwaka mmoja |
| Udhibiti wa fedha (Kifungu cha 225) | Miaka miwili |
| Hesabu na ukaguzi wa mashirika ya umma (Kifungu cha 226) | Miaka minne |
| Ununuaji wa bidhaa na huduma za umma (Kifungu cha 227) | Miaka minne |
Sura ya Kumi na Tatu—Huduma za Umma
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Maadili na kanuni za huduma za umma (Kifungu cha 232) | Miaka minne |
Sura ya Kumi na Nne—Usalama wa Kitaifa
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Idara za usalama wa kitaifa (Kifungu cha 239) | Miaka miwili |
| Uongozi wa Huduma ya Polisi ya Kitaifa (Kifungu cha 245) | Miaka miwili |
Kijumla
| Sheria | Muda |
|---|---|
| Sheria nyingine yoyote itakayohitajiwa na Katiba hii; | Miaka mitano |