Right to petition Parliament
English
(1)Every person has a right to petition Parliament to consider any matter within its authority, including to enact, amend or repeal any legislation.
(2)Parliament shall make provision for the procedure for the exercise of this right.
Kiswahili
Haki ya kuwasilisha ombi kwa Bunge
(1)Kila mtu ana haki ya kuwasilisha ombi au malalamishi kwa Bunge ili lishughulikie suala lolote lililo katika mamlaka yake ikijumuisha kurekebisha au kutupilia mbali sheria yoyote.
(2)Bunge litatoa mwongozo kuhusu taratibu za kutekeleza haki hii.