Kif.52Ufafanuzi wa Sehemu Hii ☆Hifadhi 🔗Kiungo ↗Shiriki 🖼️Picha 🔊Sikiliza ⧉Nakili(1)Sehemu hii inafafanua kwa undani baadhi ya haki fulani ili kuhakikisha uhakika zaidi katika utekelezaji wa haki hizo na uhuru huo wa kimsingi katika vikundi fulani vya watu.(2)Sehemu hii haitachukuliwa kana kwamba inadhibiti haki yoyote.