Term of office of President
English
(1)The President shall hold office for a term beginning on the date on which the President was sworn in, and ending when the person next elected President in accordance with Article 136 (2) (a) is sworn in.
(2)A person shall not hold office as President for more than two terms.
Kiswahili
Muda wa kuhudumu katika ofisi ya Rais
(1)Rais atahudumu kwa muhula utakaoanzia tarehe aliyoapishwa, na kukamilika wakati ambapo mtu atakayechaguliwa kuwa Rais mpya ataapishwa kwa mujibu wa Kifungu cha (136) (2) (a).
(2)Hakuna mtu atakayehudumu kama Rais kwa zaidi ya mihula miwili.