

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

FASHONI
KUFUA au kutofua mavazi kila baada ya kuyavalia na unapaswa kufua nguo zako kila baada ya muda upi, ni suala ambalo limezua mjadala mkali katika siku za majuzi na kuwagawanya wanamitandao.