Taharuki Uhuru, Ruto kukutana kwa Raila

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 1 views

William Ruto

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

FAMILIA ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga inakabiliwa na mtanziko wa kiitifaki huku Rais William Ruto na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta wakitarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila, uwanjani Migwena, eneobunge la Bondo hapo Alhamisi.

Viongozi hao wawili wamekuwa wakishambuliana hadharani, hali inayozua hofu kwamba hafla hiyo inaweza kugeuka uwanja wa mzozo wa kisiasa.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo