Interpretation of this Part
English
(1)This Part elaborates certain rights to ensure greater certainty as to the application of those rights and fundamental freedoms to certain groups of persons.
(2)This Part shall not be construed as limiting or qualifying any right.
Kiswahili
Ufafanuzi wa Sehemu Hii
(1)Sehemu hii inafafanua kwa undani baadhi ya haki fulani ili kuhakikisha uhakika zaidi katika utekelezaji wa haki hizo na uhuru huo wa kimsingi katika vikundi fulani vya watu.
(2)Sehemu hii haitachukuliwa kana kwamba inadhibiti haki yoyote.