Image: Taifa LeoVyama vya kisiasa nchini sasa vimefika 107 โ Msajili
Published on October 20, 2026
VYAMA vya kisiasa vinaendelea kuongezeka nchini huku viongozi wakijiandaa kwa Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2027, hali inayoibua maswali kuhusu iwapo miungano hiyo inasukumwa na sera au maslahi ya kisiasa. Afisi ya Msajili wa Vyama vya Kisiasa (ORPP) imetoa vyeti kamili vya usajili kwa vyama vingine sita na kufikisha jumla ya vyama vilivyosajiliwa kikamilifu 107. Zaidi ya vyama 30 vingine vinaโฆ




