Image: Taifa LeoMatiangโi aidhinisha Wanjiru kuwania ugavana Nairobi
Published on October 12, 2026
MGOMBEAJI wa ugavana Nairobi, Askofu Margaret Wanjiru, jana alipigwa jeki baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa kiongozi wa Jubilee Fred Matiangโi katika uchaguzi wa 2027. Akizungumza katika ibada ya kanisa la Jesus Is Alive Ministries jijini Nairobi Jumapili, Dkt Matiangโi alisema chama chake kitashirikiana kuhakikisha Askofu Wanjiru anakuwa gavana wa Nairobi.

