

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →
Official / IEBC

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka Nchini (IEBC) inapanga kuongeza zaidi ya vituo 9,000 vya kupigia kura kabla ya uchaguzi mkuu wa Agosti 10, 2027.
Kwa sasa pendekezo la IEBC la kuongeza idadi ya wapigakura katika kila kituo kutoka 700 hadi 1,000 linakabiliwa na upinzani katika Bunge la Kitaifa.