IEBC yaruhusiwa kuendelea na zabuni ya teknolojia ya uchaguzi

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 13 views

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

Official / IEBC

TUME Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) imepewa ruhusa ya kuendelea na zabuni ya teknolojia ya uchaguzi ya Sh6.5 bilioni baada ya bodi ya ukaguzi wa ununuzi wa umma kutupilia mbali malalamishi ya kampuni iliyoshindwa.

Bodi ya Ukaguzi wa Ununuzi wa Umma (PPARB) pia imeamuru kampuni ya Leading Edge Limited kulipa washtakiwa Sh2 milioni kama gharama za kesi.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races