
Originally published by Taifa Leo — Read the original article →
Party activity

MAKAVAZI ya aliyekuwa Waziri Mkuu Raila Odinga, Kang’o ka Jaramogi, Bondo, yameundwa kuhifadhi historia yake ya kisiasa na mchango wake katika safari ya kidemokrasia Kenya.
Muundo wake wa pembe tano unaashiria umuhimu wa nambari tano katika maisha yake ya kisiasa, ukikumbusha kundi la viongozi watano wa ODM lililojulikana kama “Pentagon” wakati wa uchaguzi wa 2007.