

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

LONDON, Uingereza: LIVERPOOL iliendeleza kampeni yake ya kuwania taji la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) baada ya kuichabanga Crystal Palace mabao 3-1 katika Uwanja wa Selhurst Park Jumapili.
Alexis Mac Allister aliwafungia wageni bao la kwanza dakika ya 40 kabla ya Florian Wirtz kuongeza la pili dakika ya 54.