Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 1 views
Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

KUGUNDULIWA kwa mamia ya miili katika makaburi ya kina kifupi katika Msitu wa Shakahola, Kaunti ya Kilifi, kuanzia Machi 20, 2023, ulifichua mkasa uliotokana na miaka mingi ya itikadi kali za kidini.
Kiini cha mkasa huo kilikuwa mhubiri Paul Mackenzie, aliyeaminisha wafuasi wake kuwa kufunga hadi kufa kungewasaidia kukutana na Yesu.
Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo
Read Full Article at Taifa Leo