Natambeya aitisha ufafanuzi kuhusu ulinzi wake kuondolewa

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 10 views

William Ruto

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

GAVANA wa Trans Nzoia George Natembeya amemtaka Inspekta Jenerali wa Polisi Douglas Kanja kueleza sababu za kuondolewa kwa maafisa wa usalama waliokuwa wakimlinda, saa chache baada ya ziara ya Rais William Ruto kaunti hiyo.

Walinzi hao waliondolewa Jumatano saa tano usiku, baada ya Rais Ruto kukamilisha ziara yake katika maeneo ya Kiminini na Cherangany.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races