Oburu amkumbuka Raila katika siku ya kuzaliwa kwake

Election

Source: Taifa LeoBy Fatuma Bariki👁 5 views

ODM

Originally published by Taifa Leo — Read the original article →

KIONGOZI wa ODM Oburu Oginga jana alimkumbuka kakake mdogo Raila Odinga akisema uhusiano wao wa kindugu hauwezi kuvunjwa na kifo.

Katika ujumbe katika maadhimisho ya mwaka mmoja tangu kifo cha Raila Oburu alisema kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa katika tarehe ambayo Raila aliaga dunia kulimkumbusha uhusiano wa kipekee waliokuwa nao.


Author: Fatuma Bariki
Source: Taifa Leo

Read Full Article at Taifa Leo

🗳️ Save your six races
🗳️ Know. Choose. Vote. · Save your six races · Share on WhatsApp →
Save your six races
🗳️ Save your six races
🗳️ Save your six races